Kocha wa Ureno, José Mourinho, ameanza rasmi majukumu yake kama kocha mkuu mpya wa Real Madrid baada ya kuongoza mazoezi yake ya kwanza klabuni hapo Julai 13, 2026. Mourinho amerejea Santiago Bernabéu baada ya miaka 13 tangu alipoondoka, akichukua nafasi ya Álvaro Arbeloa ambaye alikuwa akiiongoza timu hiyo kabla ya uteuzi huo.
Real Madrid ilimtangaza Mourinho kuwa kocha mpya Juni 11,..... download Xtra 90 App



