Timu ya taifa ya Hispania imefuzu rasmi kucheza fainali ya Kombe la Dunia 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ufaransa katika mchezo wa nusu fainali uliochezwa usiku wa kuamkia leo. Ushindi huo umeifanya La Roja kurejea hatua ya fainali kwa mara ya kwanza tangu ilipotwaa ubingwa wa dunia mwaka 2010.
Hispania ilionyesha kiwango cha juu kuanzia mwanzo hadi mwisho wa..... download Xtra 90 App



