Simba SC yapiga panga nyota saba , Mutale na Camara miongoni mwao

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said • 16th July 2026

Simba SC yapiga panga nyota saba , Mutale na Camara miongoni mwao

Klabu ya Simba SC imewatakia kila la heri wachezaji saba waliokuwa sehemu ya kikosi chake msimu uliopita, ikiwa ni hatua ya kuhitimisha rasmi ushirikiano wao kuelekea msimu wa 2026/27. Kupitia taarifa rasmi, klabu hiyo imewashukuru wachezaji hao kwa mchango wao walioutoa wakati wa kuitumikia timu hiyo.

Wachezaji waliotajwa katika orodha hiyo ni Chamou Karaboue, Naby Camara, Edwin Balua,..... download Xtra 90 App

More Stories

Simba SC yapiga panga nyota saba , Mutale na Camara miongoni mwao
Simba SC yapiga panga nyota saba , Mutale na Camara miongoni mwao
Today, READ MORE →
Tuchel Aweka Wazi Hatma Yake Baada ya England Kutolewa Kombe la Dunia

Hatma ya Tanzania Prisons Kujulikana Leo Dhidi ya Polisi Tanzania.

Ripoti: Michael Olise anataka kujiunga na Real Madrid.

FIFA yathibitisha onesho maalum la burudani fainali ya Kombe la Dunia 2026

Hussein Masalanga wa Yanga Atua Geita Gold FC

Aliyekuwa Kocha wa Azam FC,  Ateuliwa Kuinoa Libya

‘Waziri wa Raha’ astaafu kucheza soka la kulipwa.

Sowah arejea Singida BS
Sowah arejea Singida BS
Today, READ MORE →
Argentina yaiondoa Uingereza kwenye kombe la dunia 2026, Wakitinga fainali.