Klabu ya Simba SC imewatakia kila la heri wachezaji saba waliokuwa sehemu ya kikosi chake msimu uliopita, ikiwa ni hatua ya kuhitimisha rasmi ushirikiano wao kuelekea msimu wa 2026/27. Kupitia taarifa rasmi, klabu hiyo imewashukuru wachezaji hao kwa mchango wao walioutoa wakati wa kuitumikia timu hiyo.
Wachezaji waliotajwa katika orodha hiyo ni Chamou Karaboue, Naby Camara, Edwin Balua,..... download Xtra 90 App



