Kocha Mkuu wa Simba Steve Barker ameeleza kushtushwa na kifo cha kiungo wa kimataifa wa Afrika Kusini, Jayden Adams, ambaye amefariki hivi karibuni akiwa na umri wa miaka 25.
Barker, ambaye alikuwa sehemu muhimu ya safari ya maendeleo ya Adams akiwa katika Stellenbosch FC, alisema amebaki hana maneno kuelezea maumivu aliyoyapata baada ya kupata taarifa za msiba..... download Xtra 90 App



