Yanga yashusha msaidizi wa Manqoba, kacheza Crystal Palace

Joel JJ By Joel JJ • 17th July 2026

Yanga yashusha msaidizi wa Manqoba, kacheza Crystal Palace

Klabu ya Yanga imefikia makubaliano ya kumuajiri kiungo wa zamani wa timu ya taifa ya Afrika Kusini (Bafana Bafana) na klabu ya Crystal Palace ya Uingereza, Kagisho Dikgacoi, kuwa Kocha Msaidizi wa timu hiyo.

Dikgacoi anajiunga na mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa pendekezo la Kocha Mkuu, Manqoba Mngqithi.

Anakuwa kocha msaidizi nafasi ambayo atahudumu sambamba..... download Xtra 90 App

More Stories

Yanga yashusha msaidizi wa Manqoba, kacheza Crystal Palace
Yanga yashusha msaidizi wa Manqoba, kacheza Crystal Palace
Today, READ MORE →
Simba SC yakomba milioni 78.7 kutoka kwa mdhamini wake Betway

Vincic wa Slovenia kusimamia vita ya ubingwa wa Dunia, Hispania dhidi ya Argentina

Polisi Tanzania warejea ligi kuu bara, Prison ikishuka daraja

Kocha Simba aomboleza kifo cha nyota Bafana Bafana

Upasuaji Kumuweka Saliba Miezi Mitano Nje kufuatia Jeraha la Mgongo

Singida Bs Wafikia makubaliano na mashine ya ‘BundesLiga’ Marcel Canadi.

Simba SC yapiga panga nyota saba , Mutale na Camara miongoni mwao

Yesterday, READ MORE →
Tuchel Aweka Wazi Hatma Yake Baada ya England Kutolewa Kombe la Dunia

Hatma ya Tanzania Prisons Kujulikana Leo Dhidi ya Polisi Tanzania.