Kylian Mbappé ameendelea kuandika jina lake kwenye vitabu vya historia ya soka baada ya kuvunja rekodi ya kuwa mfungaji bora zaidi wa muda wote katika historia ya Kombe la Dunia.
Nyota huyo wa Ufaransa alifikisha jumla ya mabao 22 ya Kombe la Dunia baada ya kufunga mabao mawili katika mchezo wa kuwania nafasi ya tatu dhidi ya England kwenye Kombe la Dunia 2026 Ufaransa ikikubali kipigo..... download Xtra 90 App



