Simba yamtambulisha Nashon

Joel JJ By Joel JJ β€’ 19th July 2026

Simba yamtambulisha Nashon

Klabu ya Simba SC imemtambulisha rasmi kiungo mkabaji Kelvin Nashon kama mchezaji mpya wa kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao, baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili.

Nashon anajiunga na Wekundu wa Msimbazi akiwa mchezaji huru kufuatia kumalizika kwa mkataba wake na Singida Black Stars. Msimu uliopita, kiungo huyo alicheza kwa mkopo katika klabu ya Pamba Jiji, ambapo alionyesha kiwango..... download Xtra 90 App

More Stories

Usiku wa tuzo za kombe la dunia 2026, nani kuondoka na heshima leo?
Usiku wa tuzo za kombe la dunia 2026, nani kuondoka na heshima leo?
Today, READ MORE β†’
Ni fainali ya Kombe la Dunia: Argentina vs Hispania
Ni fainali ya Kombe la Dunia: Argentina vs Hispania
Today, READ MORE β†’
Simba yamtambulisha Nashon
Simba yamtambulisha Nashon
Today, READ MORE β†’
Mbappe avunja rekodi ya mabao kombe la Dunia
Mbappe avunja rekodi ya mabao kombe la Dunia
Today, READ MORE β†’
England wamaliza mshindi wa tatu kombe la dunia 2026, wakishusha mvua ya magoli.
England wamaliza mshindi wa tatu kombe la dunia 2026, wakishusha mvua ya magoli.
Today, READ MORE β†’
Chelsea yaipiga bao Arsenal kwa Morgan Rogers wa Aston Villa, Saa chache zijazo kutangazwa
Chelsea yaipiga bao Arsenal kwa Morgan Rogers wa Aston Villa, Saa chache zijazo kutangazwa
Yesterday, READ MORE β†’
Ogopa matapeli, Chuga Mali ya wananchi, Atambulishwa rasmi Jangwani
Ogopa matapeli, Chuga Mali ya wananchi, Atambulishwa rasmi Jangwani
Yesterday, READ MORE β†’
England vs Ufaransa: Vita ya Heshima Kuamua Mshindi wa Tatu Kombe la Dunia
England vs Ufaransa: Vita ya Heshima Kuamua Mshindi wa Tatu Kombe la Dunia
Yesterday, READ MORE β†’
Molia atambulishwa Azam FC
Molia atambulishwa Azam FC
Yesterday, READ MORE β†’
Rulani Mokwena atua Pyramids Fc
Rulani Mokwena atua Pyramids Fc
2 Days Ago, READ MORE β†’