Yanga yamtangaza Abdulnassir ‘Gamal’ kujiunga kikosini.

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media • 21st July 2026

Yanga yamtangaza Abdulnassir ‘Gamal’ kujiunga kikosini.

Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans SC, wamemtambulisha rasmi Abdulnassir Mohamed “Gamal” kuwa mchezaji wao mpya baada ya kukamilisha usajili wake akitokea Mashujaa FC, kuelekea msimu wa 2026/27.

Gamal anawasili Jangwani akiwa mmoja wa wachezaji wenye uwezo mkubwa wa kucheza nafasi zaidi ya moja, jambo linalomfanya kuwa silaha muhimu kwa benchi la ufundi katika kupanga..... download Xtra 90 App

More Stories

Wydad yakanusha makubaliano na Simba kuhusu Mwalimu, yatoa vitisho

Today, READ MORE →
Phil Foden aongeza mkataba Manchester City hadi 2030

Motsepe atoa sifa kwa Infantino kwa kuunga mkono Afrika

Romero kuondoka Tottenham, Inter Milan yatajwa

Simba yakanusha mastaa wake kuondoka
Simba yakanusha mastaa wake kuondoka
Today, READ MORE →
Simba Day 2026 kufanyika rasmi Agosti 8 Uwanja wa Uhuru

Singida BS haitanii kwenye usajili, yamshusha Ahoua Dar

Mambo yaanza kusukwa mapema Yanga, Hersi akaribisha rasmi benchi jipya la ufundi.

Simba yaanza safari yake leo kuelekea Rwanda kwa CECAFA Kagame Cup.

Yanga yaibomoa Mashujaa FC, yasajili wachezaji watatu