Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa taarifa rasmi likivikumbusha vilabu kuwa zimesalia siku 25 pekee kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili wa msimu wa 2026/27. Dirisha hilo linahusisha vilabu vya NBC Premier League, NBC Championship League, First League, Ligi Kuu ya Vijana U-20 pamoja na Ligi Kuu ya Wanawake.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisa Habari na..... download Xtra 90 App



