Local,Transfer News,Azam, Simba, Yanga, Ibenge, Al Hilal

Azam FC yamsajili mshambuliaji John Mano kutoka Al-Akhdar ya Libya

Abdulrahman Said By Abdulrahman Said
β€’
21 Jul 2026
Azam FC yamsajili mshambuliaji John Mano kutoka Al-Akhdar ya Libya

Klabu ya Azam FC imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa kimataifa wa Sudan, John Mano, kutoka klabu ya Al-Akhdar inayoshiriki Ligi Kuu ya Libya. Uhamisho huu unaipatia Azam nyongeza mpya mbele ya kiwanja, ikiwa ni sehemu ya mkakati wao wa kuimarisha kikosi kabla ya msimu mpya wa 2026/27.

Mano si mgeni apa nchini , kwani aliwahi kuja akiwa na Al Hilal ya Sudan chini ya kocha Ibenge, kabla ya kuhamia Al-Akhdar. Kwa mujibu wa taarifa zilizopo, uamuzi wake wa kujiunga na Azam FC unaelezwa kuchangiwa kwa kiasi kikubwa na ushawishi wa kocha wake huyo wa zamani, ambaye sasa yupo Chamazi.

Kuwasili kwa Mano kunatarajiwa kuongeza nguvu na uzoefu wa kimataifa katika mstari wa mbele wa Azam FC, huku klabu hiyo ikiendelea na jitihada za kujenga kikosi chenye ushindani zaidi kuelekea msimu ujao wa ndani na mashindano ya kimataifa.

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
5h ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
9h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
11h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
13h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
15h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
15h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
16h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
18h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
21h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
1d ago
READ MORE β†’