Klabu ya Yanga SC imemkaribisha rasmi Kagisho Dikgacoi, kocha mwenye asili ya Afrika Kusini, kuwa sehemu ya kikosi cha ufundi cha kocha mkuu mpya Manqoba Mngqithi, akichukua jukumu la kocha wa mipira ya kutenga (Set Piece Coach). Dikgacoi ni miongoni mwa timu ya kiufundi ya Afrika Kusini iliyowasili Jangwani kufuatana na Mngqithi.
Dikgacoi ana historia ndefu ya soka nchini Afrika Kusini,..... download Xtra 90 App



