Local,Transfer News,Tetesi, Azam Fc, Kaizer Chiefs, Yanga

Mtasingwa atua Kaizer Chiefs

Joel JJ By Joel JJ
β€’
21 Jul 2026
Mtasingwa atua Kaizer Chiefs

Dirisha la usajili mara zote limekuwa likiacha mashabiki wa soka midomo wazi kutokana na usajili wa kushtukiza.

Kiungo mkabaji wa Azam FC, Adolf Mtasingwa amejiunga na klabu ya Kaizer Chiefs inayoshiriki ligi kuu ya Afrika Kusini.

Mtasingwa ametua Kaizer Chiefs baada ya makubaliano baina Chiefs na Azam FC. Nyota huyo alikuwa bado ana mkataba wa mwaka mmoja na Azam Fc.

Kaizer Chiefs, maarufu kama Amakhosi, wamekuwa katika mchakato wa kusuka upya kikosi chao ili kurejesha heshima ya klabu hiyo kwenye ukanda wa Kusini mwa Afrika na bara zima kwa ujumla.

Licha ya kukosa nafasi kwenye kikosi cha kocha Florent Ibenge, Mtasingwa anafamika kwenye soka la Tanzania kutokana na uwezo wake mkubwa wa kukata umeme katikati ya uwanja, kulinda safu ya ulinzi, na kuanzisha mashambulizi.

Uwezo wake wa kimbinu ndio kitu kinachovutia klabu kubwa, na Amakhosi wameona kuwa yeye ndiye mtu sahihi wa kuongeza nguvu na muhimili kwenye eneo lao la kiungo.

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
7h ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
10h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
12h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
14h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
16h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
17h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
17h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
19h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
22h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
1d ago
READ MORE β†’