Doumbia, Keletso ni suala la muda Simba

Joel JJ By Joel JJ β€’ 21st July 2026

Doumbia, Keletso ni suala la muda Simba

Klabu ya Simba SC imeendelea kuonyesha dhamira yake ya kujenga kikosi imara kuelekea msimu mpya baada ya kukamilisha hatua za mwisho za kuwasajili nyota wawili, Keletso Makgalwa na Ibrahim Doumbia.

Mshambuliaji Ibrahim Doumbia, mwenye umri wa miaka 22 kutoka Mali, tayari amewasili jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kukamilisha taratibu za kujiunga na Wekundu wa Msimbazi. Nyota huyo..... download Xtra 90 App

More Stories

Mtasingwa atua Kaizer Chiefs
Mtasingwa atua Kaizer Chiefs
Today, READ MORE β†’
Azam FC yamsajili mshambuliaji John Mano kutoka Al-Akhdar ya Libya
Azam FC yamsajili mshambuliaji John Mano kutoka Al-Akhdar ya Libya
Today, READ MORE β†’
Doumbia, Keletso ni suala la muda Simba
Doumbia, Keletso ni suala la muda Simba
Today, READ MORE β†’
Kwisha habari yenu, Yanga yamtambulisha Mtaalamu wa mipira ya kutenga
Kwisha habari yenu, Yanga yamtambulisha Mtaalamu wa mipira ya kutenga
Today, READ MORE β†’
Simba wamtambulisha rasmi winga Bakari Msimu kutoka Coastal Union
Simba wamtambulisha rasmi winga Bakari Msimu kutoka Coastal Union
Today, READ MORE β†’
Rasmi: Yanga wamtambulisha kocha msaidizi Simo Dladla
Rasmi: Yanga wamtambulisha kocha msaidizi Simo Dladla
Today, READ MORE β†’
TFF yakumbusha Vilabu: Zimesalia Siku 25, Hakutakuwa na Muda wa Ziada
TFF yakumbusha Vilabu: Zimesalia Siku 25, Hakutakuwa na Muda wa Ziada
Today, READ MORE β†’
Yanga yamtangaza Abdulnassir β€˜Gamal’ kujiunga kikosini.
Yanga yamtangaza Abdulnassir β€˜Gamal’ kujiunga kikosini.
Today, READ MORE β†’
Yanga yaibomoa Mashujaa Fc, yachukua mshambuliaji
Yanga yaibomoa Mashujaa Fc, yachukua mshambuliaji
Yesterday, READ MORE β†’
Mpango wa Chobwedo kutua Simba wakwama, sababu yatajwa
Mpango wa Chobwedo kutua Simba wakwama, sababu yatajwa
Yesterday, READ MORE β†’