Singida BS haitanii kwenye usajili, yamshusha Ahoua Dar

Joel JJ By Joel JJ β€’ 22nd July 2026

Singida BS haitanii kwenye usajili, yamshusha Ahoua Dar

Klabu ya Singida Black Stars inatajwa kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji Jean Charles Ahoua, raia wa Ivory Coast, katika moja ya usajili mkubwa unaovuta hisia kuelekea msimu mpya wa mashindano.

Ahoua, ambaye aliwahi kung'ara akiwa na Simba SC kwa kiwango chake bora cha kutengeneza na kufunga mabao, anarejea kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuachana na klabu ya CR Belouizdad..... download Xtra 90 App

More Stories

Phil Foden aongeza mkataba Manchester City hadi 2030

Today, READ MORE β†’
Motsepe atoa sifa kwa Infantino kwa kuunga mkono Afrika

Romero kuondoka Tottenham, Inter Milan yatajwa

Simba yakanusha mastaa wake kuondoka
Simba yakanusha mastaa wake kuondoka
Today, READ MORE β†’
Simba Day 2026 kufanyika rasmi Agosti 8 Uwanja wa Uhuru
Simba Day 2026 kufanyika rasmi Agosti 8 Uwanja wa Uhuru
Today, READ MORE β†’
Singida BS haitanii kwenye usajili, yamshusha Ahoua Dar
Singida BS haitanii kwenye usajili, yamshusha Ahoua Dar
Today, READ MORE β†’
Mambo yaanza kusukwa mapema Yanga, Hersi akaribisha rasmi benchi jipya la ufundi.

Simba yaanza safari yake leo kuelekea Rwanda kwa CECAFA Kagame Cup.

Yanga yaibomoa Mashujaa FC, yasajili wachezaji watatu

Mtasingwa atua Kaizer Chiefs
Mtasingwa atua Kaizer Chiefs
Today, READ MORE β†’