Klabu ya Tottenham Hotspur iko mbioni kumpoteza beki wake tegemeo Cristian Romero katika dirisha hili la usajili huku vilabu vikubwa vya Ulaya vikianza kufuatilia uwezekano wa kumnasa nyota huyo wa Argentina.
Romero, ambaye amekuwa nguzo muhimu katika safu ya ulinzi ya Spurs, anatajwa kuwa miongoni mwa wachezaji wanaoweza kuondoka wakati klabu hiyo ikiendelea na mabadiliko ya kikosi...... download Xtra 90 App



