Manchester City imeendelea kuonyesha imani kubwa kwa nyota wake wa kimataifa wa England, Phil Foden, baada ya kiungo huyo mshambuliaji kusaini mkataba mpya utakaomuweka Etihad Stadium hadi mwaka 2030.
Foden, ambaye amepitia akademi ya Manchester City tangu akiwa mtoto, ameamua kuendelea na safari yake katika klabu hiyo licha ya kuwa na kipindi cha changamoto za kiwango na ushindani mkubwa..... download Xtra 90 App



