Saa chache baada ya Klabu ya Simba SC kutangaza kufikia makubaliano ya kumuongezea mkataba wa mkopo mshambuliaji Selemani Mwalimu, Wydad Athletic Club (Wydad AC), wameibuka na kukanusha taarifa hizo huku wakitishia kuchukua hatua kali za kisheria.
Katika taarifa rasmi iliyotolewa na Wydad kupitia kurasa zao za kijamii, miamba hiyo ya Casablanca imebainisha kuwa hakuna makubaliano yoyote..... download Xtra 90 App



