Klabu ya Inter Miami imeendelea kuvutia macho ya dunia ya soka baada ya kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji wa Brazil, Casemiro, ambaye sasa ataungana na nyota wa Argentina, Lionel Messi, katika Ligi Kuu ya Marekani (MLS).
Casemiro ametua Inter Miami kama mchezaji huru baada ya kumalizika kwa mkataba wake na Manchester United, ambako alitumia misimu kadhaa akicheza soka la kiwango cha..... download Xtra 90 App



