Baada ya Argentina kupoteza fainali ya Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Hispania, mitandao ya kijamii imejaa mijadala huku baadhi ya mashabiki wa Albiceleste wakidai kuwa huenda kulikuwa na mambo yasiyo ya kawaida yaliyotokea kabla na wakati wa mchezo huo.
Miongoni mwa hoja zinazotolewa na mashabiki hao ni kutokuwepo kwa kocha Diego Simeone uwanjani katika mchezo wa fainali, licha ya..... download Xtra 90 App



