Shirikisho la Soka la Argentina (AFA) linadaiwa kuanza kutafakari kuchukua hatua za kisheria dhidi ya watu na vyombo vinavyotuhumiwa kusambaza taarifa za uongo kuhusu timu ya taifa ya Argentina na wachezaji wake wakati wa Kombe la Dunia 2026.
Kwa mujibu wa taarifa zinazosambaa, hatua hizo zinaweza kujumuisha mashtaka ya kashfa (defamation) dhidi ya watu au taasisi zilizochapisha madai..... download Xtra 90 App



