International,Normal News,Real Madrid,

Real Madrid wazindua rasmi uzi mpya wa ugenini wa msimu wa 2026/27.

Jairo Mtitu By Jairo Mtitu
β€’
23 Jul 2026
Real Madrid wazindua rasmi uzi mpya wa ugenini wa msimu wa 2026/27.

Miamba ya soka nchini Hispania, Real Madrid, imezindua rasmi uzi wake mpya wa ugenini utakaotumika katika msimu wa 2026/27.

Jezi hiyo imekuja na rangi ya kijani kibichi, ikiwa na muundo wa kisasa unaolenga kuwapa wachezaji mwonekano tofauti wanapocheza mechi za ugenini.

Mara baada ya kuzinduliwa, uzi huo umeanza kuzua mjadala mkubwa miongoni mwa mashabiki wa soka duniani, ambapo baadhi wameusifu kwa ubunifu wake huku wengine wakitoa maoni tofauti kuhusu uchaguzi wa rangi na muundo wake.

Real Madrid inatarajiwa kuutumia uzi huo katika mechi zake za ugenini msimu ujao, huku mashabiki wakisubiri kuuona ukitumika rasmi uwanjani.

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
5h ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
8h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
10h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
12h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
14h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
15h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
15h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
17h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
20h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
1d ago
READ MORE β†’