Simba yamtambulisha Doumbia, mfungaji bora ligi kuu Mali

Joel JJ By Joel JJ β€’ 24th July 2026

Simba yamtambulisha Doumbia, mfungaji bora ligi kuu Mali

Klabu ya Simba SC imeendelea kuimarisha kikosi chake kuelekea msimu mpya baada ya kumtambulisha rasmi mshambuliaji Ibrahim Doumbia (22), ambaye anajiunga na Wekundu wa Msimbazi akitokea klabu ya AS Korofina ya nchini Mali.

Kwa mujibu wa taarifa, Doumbia amesaini mkataba wa mwaka mmoja wenye kipengele cha kuongeza mwaka wa pili kulingana na makubaliano ya pande zote.

Mshambuliaji..... download Xtra 90 App

More Stories

Simba yamtambulisha Doumbia, mfungaji bora ligi kuu Mali
Simba yamtambulisha Doumbia, mfungaji bora ligi kuu Mali
Today, READ MORE β†’
Klopp akabidhiwa mikoba Ujerumani
Klopp akabidhiwa mikoba Ujerumani
Today, READ MORE β†’
Nado aongeza mkataba Azam Fc
Nado aongeza mkataba Azam Fc
Today, READ MORE β†’
Yanga mbioni kumrejesha Aziz Ki, yapambana kuwanasa Girumugisha, Shalulile
Yanga mbioni kumrejesha Aziz Ki, yapambana kuwanasa Girumugisha, Shalulile
Today, READ MORE β†’
Chasambi ameanza maisha mapya Singida BS
Chasambi ameanza maisha mapya Singida BS
Today, READ MORE β†’
Josiah akabidhiwa mikoba Mashujaa Fc
Josiah akabidhiwa mikoba Mashujaa Fc
Today, READ MORE β†’
Chukwu aitosa Singida BS, kutua Yanga
Chukwu aitosa Singida BS, kutua Yanga
Today, READ MORE β†’
Maema asikilizia hatma yake Simba
Maema asikilizia hatma yake Simba
Today, READ MORE β†’
Yanga yamalizana na Chippa United, kumsajili Figuareido
Yanga yamalizana na Chippa United, kumsajili Figuareido
Today, READ MORE β†’
Zamalek Yakaribia Kuondolewa Marufuku ya Usajili FIFA
Zamalek Yakaribia Kuondolewa Marufuku ya Usajili FIFA
Yesterday, READ MORE β†’