Yanga watambulisha mashine ya magoli kutoka mali

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media β€’ 24th July 2026

Yanga watambulisha mashine ya magoli kutoka mali

Young Africans SC wamekamilisha usajili wa mshambuliaji Cheick Ibrahim Toure (29), ambaye anajiunga na mabingwa hao wa Tanzania kuelekea msimu wa 2026/27.

Toure anatua Jangwani baada ya kuitumikia Al-Jabalain FC ya Saudi First Division, ambako alikuwa akiendelea na soka lake kabla ya kukubali changamoto mpya ya kujiunga na Yanga.

Ujio wa mshambuliaji huyo unatajwa kuwa sehemu ya..... download Xtra 90 App

More Stories

Silaha tatu za moto zilizoshushwa na Yanga, Injinia Hersi akitangaza
Silaha tatu za moto zilizoshushwa na Yanga, Injinia Hersi akitangaza
Today, READ MORE β†’
Yanga watambulisha mashine ya magoli kutoka mali
Yanga watambulisha mashine ya magoli kutoka mali
Today, READ MORE β†’
Vipers yaanza CECAFA Kagame Cup kwa ushindi mnono wa mabao 3-0
Vipers yaanza CECAFA Kagame Cup kwa ushindi mnono wa mabao 3-0
Today, READ MORE β†’
Simba yamtambulisha Doumbia, mfungaji bora ligi kuu Mali
Simba yamtambulisha Doumbia, mfungaji bora ligi kuu Mali
Today, READ MORE β†’
Klopp akabidhiwa mikoba Ujerumani
Klopp akabidhiwa mikoba Ujerumani
Today, READ MORE β†’
Nado aongeza mkataba Azam Fc
Nado aongeza mkataba Azam Fc
Today, READ MORE β†’
Yanga mbioni kumrejesha Aziz Ki, yapambana kuwanasa Girumugisha, Shalulile
Yanga mbioni kumrejesha Aziz Ki, yapambana kuwanasa Girumugisha, Shalulile
Today, READ MORE β†’
Chasambi ameanza maisha mapya Singida BS
Chasambi ameanza maisha mapya Singida BS
Today, READ MORE β†’
Josiah akabidhiwa mikoba Mashujaa Fc
Josiah akabidhiwa mikoba Mashujaa Fc
Today, READ MORE β†’
Chukwu aitosa Singida BS, kutua Yanga
Chukwu aitosa Singida BS, kutua Yanga
Yesterday, READ MORE β†’