Klabu ya St Eloi Lupopo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imethibitisha rasmi kuwa itafanya kambi yake ya maandalizi ya msimu mpya (pre-season) nchini Tanzania.
Mabingwa hao wa Congo wanatarajiwa kuweka kambi kwa siku kadhaa wakijiandaa na msimu wa 2026/27, huku Tanzania ikichaguliwa kutokana na mazingira mazuri ya maandalizi pamoja na ushindani wa vilabu vya Ligi Kuu Tanzania..... download Xtra 90 App



