International, Senegal, CAS, FIFA

Rufaa ya Senegal kusikilizwa Oktoba 8 mahakama ya usuluhishi wa michezo (CAS)

Jairo Mtitu By Jairo Mtitu
β€’
26 Jul 2026
Rufaa ya Senegal kusikilizwa Oktoba 8 mahakama ya usuluhishi wa michezo (CAS)

Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imepanga kusikiliza Oktoba 8, 2026, rufaa iliyowasilishwa na Shirikisho la Soka la Senegal (FSF), ambalo linapinga uamuzi wa Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) wa kuiondolea Senegal ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025.

Senegal inataka CAS kubatilisha uamuzi huo na kuitambua tena kama bingwa halali wa AFCON 2025. Awali, mnamo Machi 17, 2026, Kamati ya Rufaa ya CAF ilitangaza kuiondolea Senegal ubingwa huo na kuukabidhi Morocco, jambo lililoifanya Senegal kuwasilisha rufaa ikidai kuwa uamuzi huo haukuwa wa haki.

Kesi hiyo inatarajiwa kuvuta hisia kubwa barani Afrika, huku uamuzi wa CAS ukisubiriwa kwa hamu kwani unaweza kubadili rasmi historia ya bingwa wa AFCON 2025 ikiwa rufaa ya Senegal itafanikiwa

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
1h ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
4h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
6h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
8h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
10h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
11h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
11h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
16h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
1d ago
READ MORE β†’