- Machi 17, 2026 Kamati ya Rufaa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) ilitangaza kuipoka Senegal ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 kwa mujibu wa vifungu vya sheria ambavyo Senegal ilikiuka katika mchezo wa fainali.
Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) imepanga kusikiliza Oktoba 8, 2026, rufaa iliyowasilishwa na Shirikisho la..... download Xtra 90 App



