- Michuano ya Kombe la Mataifa ya Wanawake Afrika (WAFCON 2026) inaanza rasmi nchini Morocco huku mataifa 16 yakisaka taji la ubingwa. Tanzania na Kenya ni miongoni mwa timu zinazoshiriki michuano hiyo mikubwa ya soka la wanawake Afrika. Twiga Stars wataanza kampeni yao dhidi ya Afrika Kusini Julai 27 katika hatua ya makundi.
Pazia la michuano ya Kombe la Mataifa..... download Xtra 90 App



