Twiga Stars wafanya road walk baada ya ushindi dhidi ya Afrika Kusini

Jairo Mtitu By Jairo Mtitu β€’ 28th July 2026

Twiga Stars wafanya road walk baada ya ushindi dhidi ya Afrika Kusini

Twiga Stars wamefanya matembezi ya barabarani (road walk) kama sehemu ya kurejesha utimamu wa mwili, siku moja baada ya kuifunga Afrika Kusini mabao 2-1 katika mchezo wa WAFCON 2026.

Mazoezi hayo ni sehemu ya maandalizi kuelekea mechi zao zinazofuata kwenye mashindano hayo.

Baada ya kuandika historia kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Afrika Kusini kwenye mchezo wa Kombe..... download Xtra 90 App

More Stories

Besiktas yakwama kumsajili Mo Salah
Besiktas yakwama kumsajili Mo Salah
Today, READ MORE β†’
Zidane Ateuliwa Rasmi Kuinoa Timu ya Taifa ya Ufaransa
Zidane Ateuliwa Rasmi Kuinoa Timu ya Taifa ya Ufaransa
Today, READ MORE β†’
Ally Kamwe - Mzize na Job kuiwahi Derby
Ally Kamwe - Mzize na Job kuiwahi Derby
Today, READ MORE β†’
Mamelodi Sundowns yaongeza ugumu kwa Simba kumpata Maema
Mamelodi Sundowns yaongeza ugumu kwa Simba kumpata Maema
Today, READ MORE β†’
Twiga Stars wafanya road walk baada ya ushindi dhidi ya Afrika Kusini
Twiga Stars wafanya road walk baada ya ushindi dhidi ya Afrika Kusini
Today, READ MORE β†’
Ally Kamwe, Hatujamaliza Usajili wa Kimataifa , Bado Vyuma Viwili
Ally Kamwe, Hatujamaliza Usajili wa Kimataifa , Bado Vyuma Viwili
Today, READ MORE β†’
Azam FC Yaanza Rasmi Maandalizi ya Msimu Mpya
Azam FC Yaanza Rasmi Maandalizi ya Msimu Mpya
Today, READ MORE β†’
Yanga yafanya kweli kwa Shalulile
Yanga yafanya kweli kwa Shalulile
Today, READ MORE β†’
Simba yathibitisha kuachana na Bajaber, Karabaka atolewa kwa mkopo
Simba yathibitisha kuachana na Bajaber, Karabaka atolewa kwa mkopo
Yesterday, READ MORE β†’
Kauli za Julio zawaibua wadau wa soka
Kauli za Julio zawaibua wadau wa soka
Yesterday, READ MORE β†’