Local, Twiga stars, WAFCON

Twiga Stars wafanya road walk baada ya ushindi dhidi ya Afrika Kusini

Jairo Mtitu By Jairo Mtitu
β€’
28 Jul 2026
Twiga Stars wafanya road walk baada ya ushindi dhidi ya Afrika Kusini

Twiga Stars wamefanya matembezi ya barabarani (road walk) kama sehemu ya kurejesha utimamu wa mwili, siku moja baada ya kuifunga Afrika Kusini mabao 2-1 katika mchezo wa WAFCON 2026.

Mazoezi hayo ni sehemu ya maandalizi kuelekea mechi zao zinazofuata kwenye mashindano hayo.

Baada ya kuandika historia kwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Afrika Kusini kwenye mchezo wa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON 2026), wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania wanawake, Twiga Stars, leo wamefanya matembezi ya barabarani (road walk) kama sehemu ya programu ya kurejesha utimamu wa mwili.

Mazoezi hayo ya kawaida baada ya mechi yalilenga kuwasaidia wachezaji kuondoa uchovu wa mchezo uliopita na kujiandaa kwa mechi zinazofuata kwenye mashindano hayo yanayoendelea nchini Morocco.

Twiga Stars waliandika ushindi mkubwa dhidi ya Afrika Kusini baada ya mabao ya Diana Msewa na Hasnath Ubamba, matokeo yaliyowapa mwanzo mzuri katika kampeni yao ya WAFCON 2026.

More Stories

APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
APR Fc yawaondosha aigles du congo kwenye caf champions league
5h ago
READ MORE β†’
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
Azam Fc yaomboleza kifo cha mlinda lango U20
9h ago
READ MORE β†’
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
Hatuna presha kuikabili Yanga - Kocha Gaborone United
11h ago
READ MORE β†’
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
Manqoba aweka tahadhari mechi dhidi ya Gaborone United
13h ago
READ MORE β†’
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
Rasmi: JoΓ£o Pedro Atwaa Tuzo Ya Mchezaji Bora Wa Mwezi Wa Agosti
15h ago
READ MORE β†’
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
Simba inalenga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, nusu fainali ni lengo kubwa
15h ago
READ MORE β†’
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
Libasse awapiga chini Max na Mwajanga, Kwenye tuzo za Mwezi.
16h ago
READ MORE β†’
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
Fei Toto azipotezea Simba, Yanga
18h ago
READ MORE β†’
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
Xtra 90 Bets : Utabiri wa mechi 21, Septemba 11 2026
21h ago
READ MORE β†’
UEFA champions league: matokeo ya usiku
UEFA champions league: matokeo ya usiku
1d ago
READ MORE β†’