Hatma ya kiungo mshambuliaji Neo Maema ndani ya Simba SC inaendelea kubaki njia panda baada ya mazungumzo ya kumuongeza mkataba kushindwa kuzaa matunda hadi sasa.
Baada ya mkataba wake wa mwaka mmoja kumalizika, uongozi wa Simba ulikuwa na matumaini ya kuendelea kuwa na huduma ya nyota huyo raia wa Afrika Kusini. Hata hivyo, mipango hiyo imekutana na kikwazo kikubwa kufuatia Mamelodi..... download Xtra 90 App



