Chelsea wamefikia makubaliano na Brighton ya kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa England, Danny Welbeck.
Welbeck tayari amekubaliana masharti binafsi na Chelsea, ambapo atasaini mkataba wa hadi Juni 2028, huku hatua inayofuata ikiwa ni kukamilisha vipimo vya afya kabla ya kutangazwa rasmi kama mchezaji mpya wa The Blues.
Brighton wamekubali kumruhusu nyota huyo kuondoka baada ya..... download Xtra 90 App



