Chelsea yafikia makubaliano ya kumsajili mkongwe Danny Welbeck.

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media β€’ 29th July 2026

Chelsea yafikia makubaliano ya kumsajili mkongwe Danny Welbeck.

Chelsea wamefikia makubaliano na Brighton ya kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa England, Danny Welbeck.

Welbeck tayari amekubaliana masharti binafsi na Chelsea, ambapo atasaini mkataba wa hadi Juni 2028, huku hatua inayofuata ikiwa ni kukamilisha vipimo vya afya kabla ya kutangazwa rasmi kama mchezaji mpya wa The Blues.

Brighton wamekubali kumruhusu nyota huyo kuondoka baada ya..... download Xtra 90 App

More Stories

Injinia Hersi afichua siri ya kukamilisha usajili wa Peter Shalulile Yanga

Today, READ MORE β†’
Real Madrid yaingia vitani kumsajili Rodri
Real Madrid yaingia vitani kumsajili Rodri
Today, READ MORE β†’
Chelsea yafikia makubaliano ya kumsajili mkongwe Danny Welbeck.
Chelsea yafikia makubaliano ya kumsajili mkongwe Danny Welbeck.
Today, READ MORE β†’
Twiga Stars warejea mazoezini, waanza maandalizi ya kuivaa Burkina Faso

Besiktas yakwama kumsajili Mo Salah
Besiktas yakwama kumsajili Mo Salah
Today, READ MORE β†’
Zidane Ateuliwa Rasmi Kuinoa Timu ya Taifa ya Ufaransa

Ally Kamwe - Mzize na Job kuiwahi Derby
Ally Kamwe - Mzize na Job kuiwahi Derby
Today, READ MORE β†’
Mamelodi Sundowns yaongeza ugumu kwa Simba kumpata Maema

Twiga Stars wafanya road walk baada ya ushindi dhidi ya Afrika Kusini

Yesterday, READ MORE β†’
Ally Kamwe, Hatujamaliza Usajili wa Kimataifa , Bado Vyuma Viwili