Real Madrid imeanza rasmi mchakato wa kumsajili kiungo mahiri wa Manchester City, Rodri Hernández, huku rais wa klabu hiyo, Florentino Pérez, akitoa ruhusa ya kuanza mawasiliano ya moja kwa moja kati ya vilabu hivyo.
Real Madrid imefanya mawasiliano ya awali na wawakilishi wa Rodri kabla ya kuanza hatua za mazungumzo na Manchester City. Hatua hiyo inaonyesha kuwa Los Blancos..... download Xtra 90 App



