Klabu ya Yanga imemuongeza mkataba nahodha wake Bakari Mwamnyeto wa miaka miwili utakaomuweka Jangwani hadi mwaka 2028. Hatua hiyo inahitimisha tetesi zilizokuwa zikimuhusisha na kuondoka klabuni baada ya kumalizika kwa mkataba wake wa awali.
Mwamnyeto ameongeza muda wa kuendelea kuitumikia Yanga baada ya mazungumzo kati ya uongozi wa klabu na wakala wake kufikia makubaliano. Katika..... download Xtra 90 App



