Harakati za usajili barani Ulaya zinazidi kupamba moto huku vigogo mbalimbali wakiendelea kusuka vikosi vyao kuelekea msimu mpya wa 2026/27. Liverpool, Manchester United, Tottenham, Chelsea na Real Madrid ni miongoni mwa klabu zinazotikisa soko la usajili kwa dili kubwa na tetesi zinazovuta hisia za mashabiki duniani. Hizi hapa ni taarifa muhimu za hivi punde kutoka dirisha la..... download Xtra 90 App



