Young Africans SC wameanza mazungumzo na Oumar Komara (25) raia wa Ivory Coast, ili kutathmini uwezekano wa kumsajili kutoka Golden Arrows ya Afrika Kusini kuelekea msimu wa 2026/27.
Komara ni mchezaji anayejulikana kwa uwezo wake wa kucheza nafasi mbili muhimu, akiwa anaweza kutumika kama kiungo mkabaji pamoja na beki wa kati, jambo linalomfanya kuwa chaguo linaloweza kuongeza uimara na..... download Xtra 90 App



