Kiungo mshambuliaji wa Ivory Coast, Jean Charles Ahoua, amejiunga rasmi na klabu ya Al-Faisaly SC ya Jordan kwa mkataba wa miaka miwili baada ya kuondoka CR Belouizdad ya Algeria kama mchezaji huru. Uhamisho huo unafungua ukurasa mpya katika maisha yake ya soka, akitarajiwa kuwa sehemu ya kikosi cha Al-Faisaly kuelekea msimu wa 2026/27.
Ahoua anarejea kwenye vichwa vya habari baada ya..... download Xtra 90 App



