Dodoma Jiji FC imekamilisha rasmi usajili wa kiungo Tepsie Evance kama mchezaji huru baada ya kuachana na Azam FC.
Nyota huyo amesaini mkataba wa miaka miwili, akijiunga na Dodoma Jiji kama sehemu ya maboresho ya kikosi kuelekea msimu wa 2026/27.
Baada ya kukamilika kwa taratibu zote za usajili, Tepsie anatarajiwa kusafiri muda wowote kuelekea kambini kuungana na wachezaji wenzake..... download Xtra 90 App



