Hatimaye pazia limeanza kufunguka kuhusu mustakabali wa kiungo nyota wa Tanzania, Feisal Salum "Fei Toto", baada ya kujiunga na kikosi cha Azam FC kabla ya kuelekea nchini Rwanda kwa maandalizi ya msimu mpya wa 2026/27.
Kwa muda mrefu kumekuwa na tetesi zilizomhusisha kiungo huyo na vigogo wa soka la Tanzania, Yanga na Simba, huku kila upande ukihusishwa na jitihada za kuwania saini..... download Xtra 90 App



