Young Africans SC wameidhinisha rasmi bajeti ya Shilingi Bilioni 36,013,671,595 kwa ajili ya maandalizi na uendeshaji wa shughuli za klabu katika msimu wa 2026/27.
Bajeti hiyo imewasilishwa na kupitishwa wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka (AGM) wa klabu, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuendelea kuijenga Yanga kiushindani na kifedha kuelekea msimu mpya.
Fedha hizo zinatarajiwa kugharamia..... download Xtra 90 App



