Mhe. Ridhiwani Kikwete ametangazwa kuwa katika Baraza la Wadhamini la Yanga kufuatia mabadiliko yaliyofanyika ndani ya chombo hicho muhimu cha usimamizi wa klabu. Mabadiliko hayo yanatajwa kuwa sehemu ya maboresho ya muundo wa uongozi wa baraza hilo kuelekea msimu wa 2026/27.
Baraza la Wadhamini la Yanga lina jukumu la kusimamia mali, rasilimali na maslahi ya klabu kwa niaba ya wanachama,..... download Xtra 90 App



