Mnyama kufunga kambi Rwanda kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Al merrick.

Xtra 90 Media By Xtra 90 Media • 3rd August 2026

Mnyama kufunga kambi Rwanda kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Al merrick.

Simba SC wanatarajiwa kuhitimisha kambi yao ya maandalizi nchini Rwanda kwa kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Al Merrikh ya Sudan kabla ya kurejea Tanzania.

Mchezo huo utachezwa kesho, Jumanne Agosti 4, ukiwa sehemu ya maandalizi ya mwisho ya Wekundu wa Msimbazi kuelekea msimu wa 2026/27, baada ya kushiriki katika michuano ya CECAFA Kagame Cup.

Benchi la ufundi linatarajiwa kutumia..... download Xtra 90 App

More Stories

Shalulile kutua Dar leo, aandaliwa mapokezi makubwa

Today, READ MORE →
Magori amjibu Mangungu: “Simba inaongozwa na Katiba, si Magori, Mangungu wala Mo”

Simba SC yafanikisha zoezi la uchangiaji damu kuelekea Wiki ya Simba

Droo hatua ya awali ligi ya mabingwa, Shirikisho (CAF) ni Alhamisi

Tetesi za usajili Ulaya, Jumatatu August 03 2026

Mangungu afunguka: “Nilipendekeza mkutano, nikajibiwa kuna marathon”

Simba hakuna mgogoro, tumepishana mitazamo tu - Mangungu
Simba hakuna mgogoro, tumepishana mitazamo tu - Mangungu
Today, READ MORE →
Mnyama kufunga kambi Rwanda kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Al merrick.
Mnyama kufunga kambi Rwanda kwa mechi ya kirafiki dhidi ya Al merrick.
Today, READ MORE →
Moalin Kocha Mkuu Mombasa United
Moalin Kocha Mkuu Mombasa United
Today, READ MORE →
Artan kuchezesha Fainali ya CECAFA Kagame Cup 2026