Dirisha la usajili barani Ulaya linaendelea kupamba moto huku klabu mbalimbali zikiendelea kusaka nyota wa kuimarisha vikosi vyao kabla ya msimu mpya kuanza. Hizi ndizo tetesi zinazotikisa soko la usajili leo, Jumatatu Agosti 3, 2026.
Tottenham yapewa bei mpya ya Osimhen
Tottenham Hotspur imewasilisha ofa ya awali inayokadiriwa kufikia pauni milioni 55 kwa ajili ya mshambuliaji wa..... download Xtra 90 App



