Hatimaye mshambuliaji nyota wa Namibia, Peter Shalulile, amewasili jijini Dar es Salaam saa chache zilizopita, hatua inayoongeza matumaini na hamasa kubwa kwa mashabiki wa Yanga kuelekea msimu mpya wa mashindano.
Ujio wa Shalulile umeibua shangwe kubwa miongoni mwa Wananchi, ambao kwa muda wamekuwa wakisubiri kwa hamu kumuona mshambuliaji huyo akiwa nchini na kuanza rasmi maisha yake..... download Xtra 90 App



