Mshambuliaji Mpya wa yanga Peter Shalulile amekiri suala la Ushindi mechi au mataji si swala la wachezaji pekee pia mashabiki wa Timu hiyo wanapaswa kutimiza sehemu ya majukumu yao ndani ya Timu hiyo .
Shalulile amesema hayo wakati akizungumza na mashabiki na wadau Mbalimbali wa Yanga waliojitokeza kumuona mchezaji huyo aliejiunga na yanga kuelekea msimu wa 2026-27 .





