Klabu ya Simba imeeleza kuwa kwa sasa inajikita zaidi katika kushughurikia masuala muhimu ndani ya timu hiyo ikiwemo usajili, Simba day na mchezo wa ngao ya hisani dhidi ya yanga utakaochezwa Agosti 12 mwaka huu.
Msimamo huo unakuja kufuatia kikao cha bodi ya Wakurugenzi kilichofanyika apo jana huku kikao icho kikisimisha matukio yote yaliotokea awali kuhusiana na Baraza la wadhamini la..... download Xtra 90 App



