Klabu ya Yanga leo inatarajia kuzindua rasmi Wiki ya Mwananchi sambamba na kushiriki hafla ya uzinduzi wa Uwanja wa Bukombe, huku ikiwapa mashabiki zawadi ya kumtambulisha mchezaji mpya.
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ali Kamwe, amesema mchezaji huyo tayari amesafiri na kikosi kilichoondoka jijini Dar es Salaam mapema leo kuelekea Ushirombo kwa ajili ya shughuli hizo mbili..... download Xtra 90 App



