Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania, Twiga Stars, leo itashuka dimbani kuivaa Ivory Coast katika mchezo wa mwisho wa Kundi B wa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake (WAFCON 2026), wakihitaji ushindi pekee ili kujihakikishia tiketi ya kufuzu hatua ya robo fainali. Twiga Stars wanaingia kwenye mchezo huo wakiwa na alama tatu, baada ya kuifunga Afrika Kusini mabao 2-1 katika mchezo wa ufunguzi..... download Xtra 90 App



