Mashindano ya CECAFA Kagame Cup 2026 yanaingia hatua ya nusu fainali leo, Jumanne Agosti 4, huku michezo miwili mikubwa ikitarajiwa kuchezwa katika Uwanja wa Kigali Pele, Rwanda, kuamua timu zitakazofuzu hatua ya fainali ya mashindano hayo ya ukanda wa Afrika Mashariki na Kati.
Mchezo wa kwanza utawakutanisha mabingwa wa Kenya, Gor Mahia, dhidi ya Al Hilal SC ya Sudan kuanzia saa 10:00..... download Xtra 90 App



